Meli ya mizigo yazama kwenye ufuo wa Taiwan, mabaharia 9 watoweka

Meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Tanzania “imezama” kusini mwa Taiwan na wafanyakazi wake tisa, raia wa Burma, hawajulikani waliko, wamesema leo Alhamisi maafisa wa kikosi cha zima moto katika kisiwa kinachojitawala kilichopigwa na kimbunga Gaemi. “Walitoweka na walikuwa wakielea baharini,” Hsiao Huan-chang amesema, akiongeza kuwa meli nyingine ya mizigo imeitwa kuja kusaidi katika…

Read More

CAF yairudisha tena Yanga Dar

KAMA ambavyo Mwanaspoti liliwahabarisha wiki iliyopita kwamba, Yanga huenda ikalainisha mambo katika Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Vital’O ya Burundi, ndivyo ilivyo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuridhia ombi la Warundi kuhamia Azam Complex kucheza mechi za nyumbani za michuano hiyo. Yanga sasa haitalazimika kwenda Burundi, baada ya Vital’O kuomba kuutumia Azam…

Read More

Makambo Jr ala shavu Ujerumani

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko ‘Makambo Jr’ amejiunga rasmi na Klabu ya FCA Darmstadt ya Ujerumani kwa mkataba wa miaka mitatu. Nyota huyo awali ilielezwa amemalizana na Coastal Union ili kuitumikia msimu ujao wa mashindano  ikiwemo Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika, japo baada ya kupata dili hilo akaamua kutua Ujerumani….

Read More

KASINO YA MTANDAONI WILD 27 NI UNYAMA

WILD 27 ni Mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa michezo ya kasino Fazi . Katika mchezo huu wa sloti, kwa msaada wa matunda matamu, unaweza kupata bonasi mara mbili. Jisajili Meridianbet uwe Milionea. Sifa za Sloti ya Wild 27 Wild 27 ni mchezo mpya wa sloti ya kasino ya mtandaoni ambao una nguzo tatu zilizowekwa katika mistari mitatu…

Read More

Coastal yamnasa straika Mkenya | Mwanaspoti

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union, ipo hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa straika Mkenya, John Mark Makwata kutoka Kariobangi Sharks inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (KPL). Timu hiyo inayoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, inataka kukamilisha dili hilo baada ya kuvutiwa na mchezaji huyo ambaye msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Kenya (KFKPL), alifunga…

Read More

KAGERA, GEITA WATAKIWA KUTUNZA VIFAA VYA UBORESHAJI

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo tarehe 25 hadi 26 Julai,2024 Mkoani Kagera. Washiriki…

Read More

KATIMBA AWATOA HOFU WANAFUNZI WALIOUNGULIWA NA DARASA UYUI

Na Angela Msimbira , UYUI NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba amewatoa hofu wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lolangulu iliyopo Wilaya ya Uyui mkoani Tabora ambao walikumbwa na janga la moto kuwa serikali itasaidia katika urejeshaji wa miundombinu. Akizungumza baada ya kutembelea eneo hilo leo Julai 25,2024 Katimba amesema baada ya kupokea taarifa…

Read More