
AKATA SEHEMU ZA SIRI ZA MAPENZI WAKE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Harriet Ampayire (23) mkazi wa Wilaya ya Kyotera Mkoa wa Kati nchini Uganda anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumkata sehemu za siri. Inadaiwa kuwa Harriet alimkata sehemu za siri mpenzi wake Reagan Karamagi, Jumapili Julai 21, 2024 kisha kutoroka. Msemaji wa Polisi…