
Tepsie Evans, apewa nafasi ya mwisho Azam FC
KIKOSI cha Azam FC kinaendelea kujifua mjini Morocco na kesho Jumamosi kitashuka tena uwanjani kucheza mechi ya pili ya kirafiki ya kimataifa baada ya awali kuifunga Us Yacoub Mansour mabao 3-0. Azam iliyoweka kambi hiyo ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano itacheza mechi kesho saa 2 usiku dhidi ya Union Touarga kabla ya Jumatatu…