Amnesty yapendekeza vikwazo zaidi vya silaha Sudan – DW – 25.07.2024

Katika ripoti yake kuhusu silaha zinaendelea kuongezeka katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita, shirika hilo limesema vita nchini Sudan kati ya jeshi na wanamgambo cha RSF vinachochewa na usambazaji wa silaha usiozuiliwa na washirika kutoka sehemu nyengine duniani wanaounga mkono pande zinazohasimiana nchini humo. Soma pia: Marekani yaandaa mazungumzo ya kusitisha mapigano Sudan Ripoti hiyo mpya…

Read More

Shule Answaar kufundisha vijana maadili mema.

Na Mwandishi Wetu. Shule ya Msingi ya Mchepuo wa dini ya Kiislam ya Answaar iliyoko Kinondoni Studio  Jijini Dar es Salaam imeipongeza serikali kwa sera ya Elimu kwa vitendo kwani inawasadia vijana kujiajiri. Mwalimu wa Dini dini wa Shule hiyo Ramadhani Omary Lubuva anasema kuwa serikali imeweka sera ambayo itawawezesha vijana kujiajiri na hivyo kutokaa…

Read More

Mkuu wa haki za binadamu 'atishwa' na ghasia mbaya za PNG, Lebanon-Israel 'makali ya kisu', wakimbizi wa Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kingono – Masuala ya Ulimwenguni

Mashambulizi hayo yaliyotokea tarehe 16 na 18 Julai yaliripotiwa kutokea kwa sababu ya mzozo wa ardhi, umiliki wa ziwa na haki za watumiaji. Mashambulizi haya yanaripotiwa kutokana na migogoro iliyotokana na ghasia za kikabila katika taifa hilo la kusini magharibi mwa Pasifiki mwezi Februari ambapo takriban watu 26 pia waliuawa. Ofisi ya Haki za Binadamu…

Read More

Kaseja matumaini kibao Kagera Sugar

IKIWA imemaliza siku 15 tangu ilipoanza maandalizi ya msimu mpya Julai 12, mwaka huu, Kocha wa makipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema maendeleo ya kikosi chao siyo mabaya huku akiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri Ligi Kuu Bara. Timu hiyo ilianza maandalizi ya Ligi Kuu itakayoanza Agosti 16, mwaka huu kwa kuweka kambi…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Labda nyie mnamwelewa Kibu Denis

NIMEJARIBU kumwelewa rasta Kibu Denis Prosper ambaye wiki chache zilizopita alisaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea Simba, maana yake hajaanza hata kuutumikia. Jamaa baada ya kusaini mkataba mpya na msimu wa 2023/2024 kumalizika akaiomba ruhusa klabu yake kuwa anaenda mapumzikoni Marekani ambako pia inaishi. Uongozi wa Simba kiungwana ukamruhusu ukizingatia ni haki na lazima…

Read More