
Kissenge atamani huduma ya intaneti ipatikane kila kijiji
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mipango na Uhandisi Kampuni ya Huduma ya Mawasiliano ya Tigo, Semvua Kissenge amesema huduma ya mtandao wa intaneti inapaswa kufika maeneo yote ikiwemo vijijini ili wananchi wapate maendeleo ya haraka kama wenzao waliopo mijini. Amesema intaneti ina nafasi kubwa katika maendeleo ya nchi, hivyo inapaswa kuwafikia watu wote kwa ajili…