
Makocha Pamba Jiji wabebeshwa mzigo
WAKATI Pamba Jiji ikizindua wiki ya tamasha lake litakalofanyika Agosti 10, mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, Mlezi wa timu hiyo, Said Mtanda alisema Kocha Goran Kopunovic na wasaidizi wake walipewa uhuru kwenye usajili na matokeo yakiwa mabaya wataulizwa. Pamba Day itanogeshwa na burudani mbalimbali ikiwemo mchezo wa kirafiki na timu ambayo itatajwa…