SPOTI DOKTA: Huu ni muda wa kupimana afya

WIKI mbili zilizopita barani Ulaya Euro 2024 ilimalizika na bingwa ilikuwa Hispania wakati Copa Amerika 2024 ilikwisha na bingwa ni timu ya taifa ya Argentina. Mara baada ya hekaheka hizo zilizokuwa na upinzani mkali kumalizika hivi sasa ni kipindi cha kuwageukia wachezaji wanaohama kutoka klabu moja kwenda nyingine. Wengi wao ni wale ambao katika mashindano…

Read More

Mtalii/mgeni bima lazima kabla ya kuingia ZNZ ni $44

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Saada Mkuya amesema Serikali ya Zanzibar imeazimia kuhakikisha Kila Mgeni anaeingia Zanzibar kuhakikisha anakata Bima ya Lazima ya Zanzibar Travel Insurance inayosimamiwa na Serikali ya Mapinduzi kupitia ZIC ambayo itamlazimu Mgeni kuikata akiwa nchini mwake wakati akijianda kufika Zanzibar. Mkuya amesema sio Jambo geni na Zanzibar pekee ambayo Mgeni…

Read More

Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano maeneo manne

Comoro. Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za makubaliano kwenye kilele cha mkutano wa kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika Julai 24, 2024 jijini Dar es Salaam. Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za ushirikiano wa kidiplomasia, afya, biashara na viwanda pamoja na teknolojia…

Read More

Vita dhidi ya njaa duniani vilivyorudishwa nyuma miaka 15, inaonya ripoti ya Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

“Jambo la msingi ni kwamba bado tuko mbali sana kuelekea lengo la kuondoa njaa, uhaba wa chakula na utapiamlo duniani ifikapo 2030,Maximo Torero, Mchumi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), kwa kuzingatia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) na haswa SDG 2: Sifuri Njaa. Bw. Torero alibainisha kuwa kama hali…

Read More

Aziz Ki, Fei Toto vita yaanza upyaa

TUZO za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa msimu huu zitafanyika Agosti Mosi, jijini Dar es salaam huku vita ya nyota wa Yanga na Azam FC, Stephane Aziz Ki na Feisal Salum ‘Fei Toto’ ikianza upyaa Bara. Nyota hao ambao msimu uliopita walichuana katika vita Mfungaji Bora na Aziz KI kuibuka mbabe mwishoni kwa kufunga…

Read More

KAJULA: Siku 913 mataji mawili

JANUARI 26, 2022 Simba ilimtangaza Imani Kajula kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu alikichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba 10, 2021. Hadi mwisho wa mwezi Agosti , mwaka huu, ndio siku ambayo ataachia ngazi katika nafasi hiyo atakuwa ametimiza siku 913 tangu ashike nafasi iliyoachwa na Barbara, huku akishindwa kufikia mafanikio yaliyofikiwa na…

Read More

Kilichowang’oa vigogo wa taasisi Wizara ya Habari

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi tatu zilizo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, inadaiwa huenda wameponzwa na salamu za shukurani zilizotolewa. Julai 21, 2024 Rais Samia Suluhu Hassan alipotengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo,…

Read More