
July 2024


Wawili wadakwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Tabora
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu wawili wakituhumiwa kwa mauaji ya mfanyabiashara Magreth Mwaviombo, aliyeuawa Julai 13, 2024 kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Julai 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Richard Abwao akisisitiza kuwa jeshi hilo halijalala. Amesema, “kutokana na tukio la mauaji lililotokea…

KIBU DENIS YUPO NCHI HII – MWANAHARAKATI MZALENDO
Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba SC kama ilivyoripitiwa awali. Hii ni baada ya nyota huyo kupokea barua ya mwaliko kutoka klabu ya Kristiansund BK ya Nchini humo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya Mwezi mmoja kuanzia…

Waraibu wa dawa za kulevya washituka, waomba Serikali ifanye oparesheni mpakani
Songwe. Waraibu wa dawa za kulevya waanoishi katika Mji wa Tunduma mkoani Songwe, wameiomba Serikali kuendesha oparesheni kwa kushirikiana na nchi jirani ya Zambia ya kudhibiti uuzwaji holela wa dawa za kulevya katika eneo la mpakani. Wamesema kukithiri kwa biashara hiyo kumekuwa changamoto kubwa kwa nguvu kazi ya taifa na kusababisha waraibu walioanzishiwa tiba kuiacha…

Benki ya Maendeleo yavuka kizingiti, sasa kutoa huduma nchi nzima
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo imesema sasa itafanya kazi nchi nzima tofauti na awali ambapo uwezo wake ulikuwa unaishia kwenye kanda. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kufikisha mtaji wa Sh19 bilioni kutoka Sh17 bilioni za mwaka 2022. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 24,2024 Kaimu Mkurugenzi wa benki hiyo, Peter Tarimo amesema tayari…

Bodi ya TASAC yabaini Changamoto Katika Bandari ya Bagamoyo
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) Nahodha Mussa Mandia akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kupunguza kodi katika bidhaa za Kutengenezea Boti ambayo iko nyuma yake wakati Bodi ilipofanya ziara katika Bandari ya Bagamoyo. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mohamed Salum akionesha Vyombo Vidogo vya…

Utapenda wadau wanavyojadili matumizi ya intaneti, faida zake kemkem
Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya teknolojia nchini Tanzania wamesema intaneti ina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya nchi, hivyo mamlaka zinazohusika zina wajibu wa kuhakikisha huduma hiyo inaboreshwa ili kumnufaisha kila mtu kwenye jamii. Kutokana na fursa nyingi zinazopatikana kupitia mtandao huo, wadau hao wamesema ni nadra kwa mtu yeyote anayehitaji maendeleo kutoutumia…

DKT. MSONDE- MADARASA JANJA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA WALIMU NCHINI
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) anayeshughulikia elimu, Dkt. Charles Msonde amesema kuwa, upatikanaji wa madarasa janja (smart classrooms) utasaidia kwa kiwango kikubwa katika kuongeza ufanisi wa ujifunzaji na ufundishaji nchini pamoja na kupunguza changamoto ya upungufu wa walimu. Dkt. Msonde amesema hayo leo katika ofisi…

Jinsi Serikali za Kiafrika Zinaweza Kuongoza Njia ya Kukomesha Ndoa za Utotoni – Masuala ya Ulimwenguni
Credit: Usawa Sasa Maoni na Deborah Nyokabi (nairobi, kenya) Jumatano, Julai 24, 2024 Inter Press Service NAIROBI, Kenya, Julai 24 (IPS) – Thandi*, msichana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Malawi, ni mtoto na mama. Baada ya yeye na ndugu zake kuwa yatima, waliachwa chini ya uangalizi wa nyanya yao ambaye alihangaika kuwahudumia. Thandi anakumbuka…

Waandishi wanolewa kuripoti habari za ukatili wa jinsia kwa wanawake mitandaoni
Dar es Salaam. Uchache wa uripotiji na ukandamizaji wa waathirika wa kesi za ukatili wa kijinsia kwa wanawake kwenye mitandao ya kijamii umetajwa kuwa changamoto kwa baadhi ya waandishi wa habari wanaoripoti kesi hizo. Changamoto hiyo imebainika kupitia utafiti uliofanywa Afrika Mashariki na Shirika la (DW Akademie ambalo ni Shirika la Deutsche Welle (DW) Ujerumani,…