
JESHI LA ZIMAMOTO TANGA WAJA NA PROGRAMU ZA KUELIMISHA UMMA NAMNA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO
Na Oscar Assenga,TANGA JESHI la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tanga wameanzisha program mbalimbali za kuielimisha Umma kuweza kuwa na utambuzi ili majanga ya moto yanapotokea waweze kukabiliana nayo. Hayo yalibainishwa leo na Afisa Operesheni wa Jeshi hilo mkoani Tanga Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo Yusuf Msuya wakati akizungumza na kuhusu namna walivyojipanga kukabiliana…