
Tanzania, Marekani kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki
Dar es Salaam. Tanzania na Marekani zimekubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano katika masuala ya siasa na hasa katika uchaguzi ili kuhakikisha wananchi wanatumia haki yao kuapata viongozi wanaowataka. Hayo yameelezwa leo Julai 24, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anashughulikia masuala ya siasa wa Marekani, John Bass aliyekuwa na ziara ya siku tatu katika…