
Ayoub Lakred hatihati Dabi ya Kariakoo
KIPA wa Simba, Ayoub Lakred huenda akakosa mchezo wa Ngao wa Jamii utakaoihusisha timu hiyo dhidi ya Yanga Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, baada ya kupata majeraha ya misuli ya paja ‘Hamstring’. Ayoub aliyejiunga na Simba Agosti 11, mwaka jana kwa mkataba wa mwaka mmoja kisha kusaini…