
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAHASIBU AFRIKA
Na. Peter Haule na Joseph Mahumi, WF, Arusha Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Wahasibu Barani Afrika (African Association of Accountants General Meeting (AAAG)) utakaofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 3 hadi 5 Disemba Mwaka 2024, ukiwahusisha zaidi wa washiriki 2,000 kutoka takriban nchi 55 za Bara la Afrika. Hayo yameelezwa…