
Magari Dar, Arusha upinzani umerudi upyaa
USHINDI wa 1-2-3 walioupata madereva wa timu ya Mitsubishi dhidi ya madereva wa Subaru, siyo tu umefufua upinzani wa timu hizo, bali pia na ule uliodumu miaka mingi kati ya klabu za Arusha na Dar es Salaam. Yakijinadi kwa jina la Advent Rally of Tanga, mashindano ya mbio za magari ya kufungua msimu yalimalizika mjini…