Netanyahu kuhutubia Bunge Marekani – DW – 24.07.2024

Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina waliingia katika sehemu ya jengo la Bunge wakati Benjamin Netanyahu akijiandaa kuyahutubia mabaraza yote mawili ya Bunge la Congress leo Jumatano. Waziri Mkuu huyo wa Israel yuko Marekani kufuatia mwaliko aliopewa na viongozi wa mabaraza hayo. Polisi wanaolinda bunge hilo wamesema baada ya waandamanaji kukaidi wito wa kuondoka katika eneo hilo, wamelazimika…

Read More

Wakili Kitale aikomalia TLS, afungua kesi nyingine

Mwanza. Zikiwa zimepita siku tisa tangu Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza itoe ruhusa kwa Wakili Steven Kitale kuwasilisha maombi ya mapitio ya kisheria dhidi ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), hatimaye wakili huyo amefungua shauri hilo. Shauri hilo namba 17558/2024 lililofunguliwa Julai 22, mwaka huu liko mbele ya Jaji Wilbert Chuma na tayari wito wa…

Read More

Bolt yazindua Tuzo nchini Tanzania.

● Bolt imeongeza ufanisi wa programu ya dereva ili kutambua utendaji kazi na kuwapa madereva zawadi. Dar es Salaam, 23rd Julai 2024 – Bolt, kampuni inayoongoza kwenye huduma ya taxi mtandao Africa, imezindua Tuzo za Bolt, Dhumuni la tuzo hizi ni kutambua huduma bora inayotolewa na madereva kwenye huduma ya taxi mtandao.Tuzo hizi zitatolewa kwa…

Read More

Tanzania, Nigeria kuvaana Kombe la Dunia Kriketi

UWANJA wa Dar es Salaam Gymkhana utashuhudia mechi ya ufunguzi ya kriketi kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 19 kati ya Tanzania na Nigeria, Agosti 2, mwaka huu. Hayo ni mashindano yanayoratibiwa na Chama cha Kriketi Duniani (ICC) na yatafanyika jijini Dar es Salaam ili kupata timu za…

Read More

China yajadili mipango ya amani na Ukraine – DW – 24.07.2024

Wizara ya mambo ya nje ya China imesema viongozi hao wawili walifanya mazungumzo mjini Guangzhou, huku msemaji wake Mao Ning akiwaambia waandishi wa habari kwamba walizungumzia kuhusu mzozo wa Ukraine. Soma pia:Kuleba yuko ziarani Beijing kutafuta amani nchini Ukraine Ning amesema mawaziri hao wawili wa mambo ya nje walibadilishana mawazo kuhusu mzozo wa Ukraine na kwamba Wang…

Read More

Ukiukaji wa sheria unavyoathiri miundombinu ya masoko Dar – 1

Dar es Salaam. Utekelezaji usioridhisha wa sheria za usimamizi wa mazingira na sheria ndogo za masoko katika Mkoa wa Dar es Salaam umesababisha kuibuka kwa masoko yasiyo na viwango, yenye miundombinu mibovu na uchafu uliokithiri unaohatarisha afya za wananchi. Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa miezi mitatu kwenye masoko 11, umebaini sheria hazitekelezwi ipasavyo na kusababisha…

Read More