
Kamala Harris amshambulia Trump katika mkutano wa hadhara – DW – 24.07.2024
Tofauti na mtangulizi wake rais anaeondoka madarakani, Joe Biden, ambae mara nyingi amekuwa akisitasita na kuzungumza kwa taratibu katika hotuba zake, Makamu wa Rais Kamala Harris alikuwa akihutubia kwa nguvu na hamasa, ambayo ilipokelewa kwa shangwe katika hafla hiyo katika uwanja katika mkutano wake wa hadhara jimboni Wisconsin. Kwa tathimini ya mkutano huu wa…