DATA NA DATA – MICHUZI BLOG

DATA NA DATA ni kampeni iliyobuniwa na Airtel Tanzania kugusa utamaduni wa mitandao ya kijamii unaochangamka na unaoendelea kila wakati, kwa kuwawezesha wateja kufanya zaidi wanayopenda. Kwa kila ununuzi wa kifurushi cha wiki au mwezi, Airtel Tanzania inakupa DATA BURE ili utumie kwenye FB, INSTA AU WHATSAPP! Piga *149*99# Chaguo 5.

Read More

HALMASHAURI TAMBUENI JUKUMU LA KUSAFISHA BARABARA NA MITARO: MHANDISI MATIVILA

Kibakwe, Mpwapwa Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kutambua kuwa jukumu la kusafisha barabara na mitaro ni la kwao na si la Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) huku wananchi wakihimizwa kuzitunza barabara zinazojengwa katika maeneo yao. Rai hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- TAMISEMI anayeshughulikia miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila wakati…

Read More

Simba Tanga wachangia damu | Mwanaspoti

WAKATI Simba ikizindua wiki ya tamasha la kila mwaka ‘Simba Day’ leo Jumatano katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Morogoro, mashabiki wa timu hiyo wa mkoani Tanga wanatarajia kuchangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwenyekiti wa Matawi ya Simba Tanga, Edgar Mdime amesema imekuwa ni desturi yao kila mwaka…

Read More

Simba Tanga wachangia damu. | Mwanaspoti