TPA wekeni utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia na kutenganisha mizigo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC, Nah. Mussa Mandia ameielekeza TPA kuweka utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia mizigo na kutenganisha mizigo ya vyakula na mizigo mengine katika Bandari ya Nyamisati. Hayo ameyabainisha leo wakati akizungumza na vyombo vya habari kwenye baada ya ziara ya ukaguzi katika bandari ya Nyamisati…

Read More

VIJANA TUKAJIANDIKISHE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA – JOKATE – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amewasihi Vijana wote nchinikujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.   “Viongozi wetu wanafanya kazi kubwa ya kutusemea katika mambo mengi makubwa, hivyo ili tuwape shime na nguvu lazima tujitokeze kwa wingi…

Read More

Moto wateketeza vibanda Stendi ya Msamvu

Moto umezuka usiku wa kuamkia leo na kuteketeza baadhi ya vibanda vya wafanyabiashara wadogo pembezoni mwa Kituo Kikuu cha Mabasi, Msamvu mjini Morogoro. Moto huo unaodaiwa kuanza saa 3:15 usiku kwa mujibu wa mashuhuda, umesababisha uharibifu kwenye vibanda takriban vinane. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro, Mrakibu Msaidizi Daniel Miala amesema chanzo…

Read More

January, Nape: Ilianza kwa Magufuli sasa kwa Samia

Catherine Haddon, raia wa United Kingdom (UK), ni mtaalamu wa uendeshaji wa Serikali. Catherine aliwahi kusema: “Some reshuffles are planned well in advance and some are sudden but, they all have the potential to go off-course.” Tafsiri yake ni kuwa; “baadhi ya mabadiliko ya baraza la mawaziri hupangiliwa vizuri mapema na mengine hutokea ghafla, lakini…

Read More