
Mchungaji anayedaiwa kuua aendelea kusota mahabusu, upelelezi wa kesi haujakamilika
Mwanza. Upelelezi wa shauri la mauaji linalomkabili Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G) lililopo Buhongwa jijini Mwanza, Ernest George (37) haujakamilika. Akisoma shtaka hilo lenye kesi namba 19830/2024 leo Jumatano Julai 31, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza mbele ya Hakimu wa mahakama hiyo, Stella Kiama, Wakili wa Serikali,…