Mjumbe wa Umoja wa Mataifa aonya kuhusu tishio la kurejea kwenye 'vita kamili' huku mivutano ya kikanda ikizidi – Masuala ya Ulimwenguni

“Mtazamo wa maendeleo nchini Yemen tangu mwanzoni mwa mwaka umehamia katika mwelekeo mbaya na ikiachwa bila kushughulikiwa inaweza kufikia hatua ya mwisho,” yeye sema. Vikosi vya Serikali ya Yemen vinavyoungwa mkono na muungano unaoongozwa na Saudia vimekuwa vikipambana na waasi wa Houthi, pia wanajulikana kama Ansar Allah, tangu mwaka 2014. Wahouthi pia walianza kushambulia meli…

Read More

Samia alivyotikisa kila wizara kwa miaka mitatu

Dar es Salaam. Siku 1,220 za Rais Samia Suluhu Hassan madarakani zimekuwa za panga, pangua kwenye baraza lake la mawaziri kutafuta ufanisi huku mabadiliko hayo yakidaiwa kuwanyima wateule hao nafasi ya kutosha kuonyesha ubunifu na kuacha sifa katika taasisi wanazoziongoza. Samia aliingia madarakani Machi 19, 2021 baada ya Rais John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,…

Read More

Wanamichezo wakimbizi walenga kutimiza ndoto zao Paris – DW – 24.07.2024

Kamati ya kimataifa ya Olimpiki imewaorodhesha wanamichezo 37 wakimbizi katika mashindano ya olimpiki ya mwaka huu yanayoanza siku ya Ijumaa. Bruce Amani anaiangazia timu hiyo ya wakimbizi pamoja na maandalizi jumla ya michezo ya Olimpiki.)) Wanariadha hao, kutoka nchi zikiwemo Syria, Sudan, Cameroon, Ethiopia, Iran na Afghanistan, watashiriki katika michezo 12 tofauti mjini Paris, ikiwa…

Read More

WANAWAKE WAWILI WALIOKUFA DODOMA HAWAJAUAWA, WAMEKUFA KIFO CHA KAWAIDA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Theopista Mallya amethibitisha kutokea Kwa vifo vya Wanawake wawili ambapo katika uchunguzi wamebaini Wanawake hao hawakuuawa.     Kamanda Mallya ameyasema hayo Julai 23,2024 Jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo amesema baada ya kufanyika uchunguzi mwili wa mwanamke wa kwanza alitambulika Kwa Jina la Alesi…

Read More

MITUNGI YA GESI YA SH. BILIONI KUMI KUTOLEWA NA SERIKALI 2024/25 – MHE. KAPINGA – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu wa fedha itatoa mitungi ya gesi takriban 400,000 kwa wananchi yenye thamani ya Shilingi Bilioni kumi.     Akizungumza na wananchi wiilayani Mbinga Mhe. Kapinga amesema lengo la Serikali ni kuongeza matumizi ya Nishati Safi ya…

Read More