MWANARIADHA WA TANZANIA HATIHATI KUSHIRIKI OLIMPIKI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mwanariadha wa Mbio ndefu kutoka Tanzania Gabriel Geay amesema anasubiria taarifa ya daktari wake kuhusu afya yake kama ataweza kushindana katika michuano ya Olimpiki msimu huu kutokana na kuwa majeruhi. Geaya amesema kuwa kwa sasa anafanya mazoezi kulingana na maelekezo ya daktari na anatumaini kuwa atakuwa vyema mpaka siku ya michuano hiyo inayofunguliwa…