KISA PAMBA DAY MTANDA AUZA TIKETI ZAIDI YA 5,000

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA MKUU wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda,leo amezindua uuzwaji wa tiketi za kuingilia katika Tamasha la Pamba Day na kuwataka mashabiki na wapenzi wa timu ya Pamba Jiji kuwahi mapema kununua tiketi zao ili kuwahi nafasi. Akizindua uuzwaji wa tiketi hizo katika Uwanja wa Nyamagana,uliofanyika sambamba na mkutano wa wadau kutoa…

Read More

SIO ZENGWE: Magoma amechelewa kuamka, lakini amefikirisha

MIAKA ya mwanzoni wa 1990 hadi mwisho haikuwa ajabu kusikia klabu ina kesi hata zaidi ya tano kwenye mahakama tofauti na hukumu zake kuibuka kwa nyakati tofauti na wakati mwingine kuvuruga kabisa mipango ya klabu. Ukiacha mgogoro uliosababisha Yanga igawanyike na kikosi kizima cha kwanza kuondoka, ule wa miaka ya 1990 mwanzoni ulikuwa mkubwa zaidi…

Read More

Ugumu Uliokithiri, Tunatumahi Katika Muda Mfupi Pekee – Masuala ya Ulimwenguni

Shamba la mahindi lililoharibiwa na ukame nchini Zambia, mojawapo ya nchi ambazo zimetangaza hali ya dharura huku likikabiliana na athari za El Niño. Credit: WFP/Gabriela Vivacqua na Kevin Humphrey (johannesburg, Afrika Kusini) Jumanne, Julai 23, 2024 Inter Press Service JOHANNESBURG, Afŕika Kusini, Julai 23 (IPS) – Kuelekea katika kipindi cha kiangazi cha kitamaduni cha majira…

Read More

OCS na wenzake sita kortini wakituhumiwa mauaji ya raia

Bukoba. Askari Polisi wanne akiwemo Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) cha Kata ya Goziba, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera, John Mweji na mgambo watatu wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumuua Baraka Lucas. Mwili wa Lucas (20) aliyekuwa mbeba dagaa wabichi Mwalo wa Kisiwa cha Goziba, ulipatikana ukielea Ziwa Victoria Juni 12, 2024 ikiwa ni siku…

Read More

UNESCO Experts Mission meet Hadzabe, Datoga and Iraqw Communities to assess commitment to preserving the unique Geopark heritage

By our correspondent, Karatu. UNESCO experts who arrived in Tanzania to revalidate the Ngorongoro-Lengai UNESCO Global Geopark have visited Karatu and Eyasi divisions to visit Iraqw, Hadzabe and Datoga communities as part of their mission to assess the area’s adherence to UNESCO’s criteria and its ongoing commitment to preserving the unique cultural, geological, and ecological…

Read More

Majaribio chanjo kuzuia VVU yakosa ufanisi

Dar es Salaam. Baada ya majaribio ya chanjo ya sindano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ‘PrEPVacc’ yaliyofanyika kwa miaka minne Mashariki na Kusini mwa Afrika, imebainika haijafanikiwa kupunguza maambukizi ya virusi hivyo miongoni mwa waliofanyiwa utafiti. Majaribio ya chanjo hiyo yalisitishwa Novemba, 2023 na baadaye kutangazwa hadharani Desemba mwaka huo. Tanzania ni miongoni mwa…

Read More

DKT.DIMWA ATEMBELEA MATAWI YA USAJILI WA KADI ZA KIELEKTRONIKI W/MJINI Z’BAR.

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewasihi wanachama wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kujisajili katika mfumo wa kielektroniki wa kadi za uanachama wa CCM.Kauli hiyo ameitoa katika ziara yake ya kuangalia na kukagua zoezi hilo linalofanyika katika matawi mbalimbali nchini alipotembelea matawi…

Read More

Geay awatoa hofu Watanzania kuhusu Olimpiki

MUDA mfupi baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay huenda asikimbie katika mashindano ya Olimpiki yanayotarajiwa kuanza wiki hii nchini Ufaransa, mwenyewe ameibuka na kuwatoa hofu Watanzania. Taarifa za awali zilizonukuliwa na Mwanaspoti kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) zilidai kwamba mwanariadha huyo ni…

Read More

DCI Kingai kutoa ushahidi kesi ya mauaji ya mwanafamilia

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Tanzania (DCI), Ramadhan Kingai ni miongoni mwa mashahidi 40 wa Serikali wanaotarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mama na mtoto wake wa kiume. Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kuwa mashahidi hao na vielelezo 11 vinatarajia kutolewa…

Read More