HAGILA AITABIRIA MAKUBWA PAMBA JIJI

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA MJUMBE wa Bodi ya Pamba Jiji FC,Evarist Hagila amesema Tamasha la Pamba Day ni chachu ya kuwafanya mashabiki kutambua timu yao imerejea ligi kuu. Pia wamesajili wachezaji wa viwango,usajili uliosimamiwa kwa weledi na wataalamu wa soka chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Goran Kopunovic,raia wa Serbia. Hagila ametoa kauli hiyo…

Read More

Kibu atimka, Simba yatoa msimamo

Wakati taarifa zikienea  kiungo mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis amekimbilia Norway, uongozi wa klabu hiyo umesema utamchukulia hatua za kinidhamu ikidai ni mtoro. Kauli ya Simba inakuja baada ya kuibuka kwa taarifa Kibu ametimkia Norway kimya kimya bila kutoa taarifa kwa klabu yake. Simba imezinasa nyaraka mbalimbali za Kibu zikionyesha kiungo huyo ametimka nchini na…

Read More

RAIS SAMIA ATENGUA TENA VIGOGO HAWA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Viongozi mbalimbali akiwemo Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Rais amemtengua pia Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi…

Read More

Tanzania yapata mtambo wa kisasa wa uchorongaji madini

Geita. Tanzania imepata mtambo mkubwa wa uchorongaji madini ya dhahabu wenye uwezo wa kujiendesha, huku ukitarajiwa kuwa mwarobaini wa ajali mgodini na kuongeza uzalishaji wa dhahabu. Mtambo huo, wenye uwezo wa kuchoronga mita 400 kwenda chini, umenunuliwa na Shirika la Madini la Taifa (Stamico) kwa gharama ya Sh4 bilioni na utatumika kuchoronga madini katika mgodi…

Read More

RT yaongeza nguvu kambi ya Taifa ya Olimpiki

Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limekabidhi vifaa vya michezo katika kambi ya timu ya Taifa ya riadha inayojiandaa kushiriki Michezo ya Olimpiki kama  sehemu ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kikosi hicho kinaundwa na wachezaji wanne wa marathoni ya mbio ndefu za kilomita 42 na wamebeba jukumu la kwenda kuandika historia ya kuleta tena medali baada…

Read More

Kamala Harris aanza kampeni za Urais – DW – 22.07.2024

Chama cha Democratic nchini Marekani kimeanza mbio za kuteua atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi ujao mwezi Novemba baada ya Rais Joe Biden kujiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho jana Jumapili na kumpendekeza makamu wake Kamala Harris kupambana na Donald Trump wa Republican. Mengi yameendelea kuzungumzwa kufuatia hatua hiyo ya Biden, ambaye alikabiliwa na shinikizo kubwa…

Read More

Ubunifu, umahiri vyaibeba CRDB tuzo za kimataifa

Dar es Salaam. Kutokana na ubunifu na umahiri katika kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja na wadau wengine, Benki ya CRDB imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya Benki Bora Tanzania inayohudumia biashara ndogo na za kati kwa mwaka 2024. Tuzo hiyo imetolewa na Jarida la Euromoney la nchini Uingereza ambalo hutambua benki na taasisi za fedha…

Read More