
CTI Yataka Dira ya 2050 Iweke Kipaumbele Kwa Viwanda
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Wenye Viwanda (CTI), limependekeza maendeleo ya viwanda yapewe kipaumbele kwenye Dira ya Taifa ya 2050. Hayo yamesemwa leo Julai 23,2024 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa CTI, Leodegar Tenga katika mjadala wa wadau wa viwanda walipokuwa wakijadili Dira ya 2050 na kuzungumzia maendeleo ya viwanda kwa ujumla. Mkutano huo…