Maandamano Kenya yatatiza shughuli katika uwanja wa ndege – DW – 23.07.2024

Kwenye kikao cha kwanza cha bunge lililorejea kazini tangu kuanza maandamano ya kudai utawala bora,viongozi walitofautiana juu ya uteuzi wa baraza jipya la mawaziri uliofanyika Ijumaa iliyopita. Junet Mohamed ni kiranja wa upinzani na mbunge wa Suna Mashariki amesisitiza kuwa watakuwa makini sana wakati wa kuwapiga msasa mawaziri wapya. Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika…

Read More

Mtaka awatuliza wafanyabiashara kisa mauaji ya mwenzao

Njombe. Mamia ya wananchi wamejitokeza kwenye maziko ya Godfrey Ndambo (45), aliyekuwa mfanyabiashara maarufu mkoani Njombe. Kabla ya kufanyika kwa maziko hayo, baadhi ya wafanyabiashara walipanga kufunga maduka kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo ili kulishinikiza Jeshi la Polisi kuwasaka wahusika wa mauaji hayo. Hata hivyo, baada ya viongozi wa wafanyabiashara hao kufanya mazungumzo na…

Read More

MAOFISA USAFIRISHAJI(BODABODA )WAJISAJILI KWENYE KANZI DATA KWA USALAMA -RPC LUTUMO

Mwamvua Mwinyi, Pwani JESHI la Polisi Mkoani Pwani kwa kushirikiana na Maofisa usafirishaji Wilaya ya Kibaha (bodaboda), limezindua zoezi la uvaaji viakisi mwanga katika ili kuwa rasmi na kuepuka kukumbwa na majanga mbalimbali ikiwemo kuporwa vyombo vyao vya moto. Akizungumza katika uzinduzi huo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ,Pius…

Read More

Geay hatihati Olimpiki, daktari afunguka

Kuna hatihati kwa nyota wa Tanzania wa mbio za marathoni, Gabriel Geay kushindwa kuchuana kwenye Olimpiki msimu huu kutokana na kuwa majeruhi. Hata hivyo, daktari wa timu ya Tanzania kwenye michezo hiyo, Eliasa Mkongo amesema nyota huyo atasafiri na timu kwenda Paris, Ufaransa inakofanyika michezo hiyo itakayofunguliwa Julai 26. Amesema, Geay ambaye ana maumivu ya…

Read More

Bashungwa: Wapangaji wa nyumba za TBA mlipe kodi kwa wakati

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amewataka wapangaji wanaoishi katika nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo itumike kujenga majengo mapya na kuboresha huduma katika majengo mengine ya Wakala huo. Bashungwa alitoa agizo hilo leo, Julai 23, 2024,…

Read More