
China yasimamia makubaliano ya ushirikiano wa Wapalestina. – DW – 23.07.2024
Israel imeyalaani makubaliano ya Wapalestina ya kuleta umoja na maridhiano, yaliyofikiwa leo huko Beijing. Israel imemkosoa vikali rais Mahmoud Abbas ambaye chama chake cha Fatah kimeridhia kufanya kazi kwa pamoja na Hamas na makundi mengine, kuitawala mamlaka ya Wapalestina. Maridhiano ya Wapalestina yamekuja katika kiwingu cha mashambulio ya Israel yanayoendelea kufanywa Ukanda wa Gaza. Viongozi…