
Hawa hapa mastaa 10 wa kutazamwa zaidi Olimpiki 2024
MICHEZO ya Olimpiki ya Paris 2024 inatazamiwa kuanza Ijumaa hii huko Ufaransa kwa kushirikisha wachezaji 10,500 kutoka mataifa 206, Tanzania ikiwa ni miongoni mwao. Katika mashindano hayo, kutakuwa na michezo 32 na Tanzania itashiriki katika michezo mitatu ya riadha, kuogelea na judo. Garbriel Geay, Jackline Sakilu, Alphonce Simbu na Magdalena Shauri watashiriki marathoni, Collins Saliboko,…