TASAC yaweka mikakati katika usimamizi wa utekelezaji wa mkataba kwenda katika uchumi wa Bluu Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Imeelezwa kuwa Tanzania imeweza kutekeleza hati ya
Month: August 2024

Wadau wa kilimo, wakulima, na wataalam wa upimaji wa udongo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wamefanya kikao cha kujadili uzalishaji

Na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG. Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya

Na Malima Lubasha, Serengeti MAAGIZO aliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kemirembe Lwota kwa uongozi wa Kijiji cha Nyami huru kilicho Kata ya Busawe ya

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Daniel Sillo amesema Serikali itaendelea kuwachukulia hatua za Kisheria madereva wote wasiotii na wanaokiuka sheria za

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amempongeza Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson kwa kuandaa mashindano ya kupika kwa gesi ya Oryx kwa kushirikisha Mama na

Mwanza. Wasichana waliositisha elimu katika ngazi mbalimbali mkoani hapa, wameelezea changamoto wanazopitia ikiwemo unyanyapaa, kufukuzwa na kutolewa lugha chafu na ndugu zao. Hata hivyo, wanafunzi hao

Dar es Salaam. Hali ya kisiasa nchini na uteuzi wa mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki na maandalizi wa mkutano mkuu maalumu, ni miongoni

HUTAKIWI kupata mawazo unapata wapi pesa wikiendi hii kwakua mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wako kuhakikisha wikiendi yako inakua ya kibabe, Kwani

Tabora. Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba nchini (TMDA) Kanda ya Magharibi, imefanikiwa kukamata dawa na vifaa tiba ambavyo havijasajiliwa vyenye thamani zaidi ya Sh150 katika