
WaterAid wakabidhi mradi wa uboreshaji miundombinu ya maji, usafi wa mazingira.
Picha mbalimbali za kukabidhi miundombinu ya maji Safi wilayani Hanang Mradi huo wagharimu zaidi ya Milioni 425 Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la WaterAid limekabidhi mradi wa uboreshaji wa huduma za miondombinu ya maji na usafi wa mazingira Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliogharimu Sh million 425 na unalenga kuwafikia wanufaika wasiopungua 20,036. Hayo yalisemwa jana…