KATIBU MKUU AFURAHISHWA NA MAANDALIZI YA TVLA NANENANE

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kituo cha Dodoma Dkt. Japhet Nkangaga kuhusiana na huduma zinazotolewa TVLA kwa wafugaji na wadau kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Mifugo (Nanenane) yanayofanyika katika uwanja wa Nzuguni jijini Dodoma…

Read More

TCB YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO NA ZEEA KUWEZESHA MIKOPO KWA WANAWAKE NA VIJANA

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesaini Mkataba wa makubaliano (MOU) na Wakala wa Serikali wa Uwezeshaji Wananchi kiuchumi Zanzibar ( ZEEA) kuanzisha mpango maalumu wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huo unakusudia kuchochea ukuaji wa biashara, ongezeko la ajira, na maendeleo ya kiuchumi katika…

Read More

Mwabukusi rais mpya TLS, yaliyombeba haya hapa

Dar es Salaam. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemtangaza Boniface Mwabukusi kuwa rais wa chama hicho, huku misimamo na ujasiri wake vikitajwa kuwa miongoni mwa turufu zilizompa ushindi. Mwabukusi ametangazwa mshindi wa kiti hicho kwa kupata kura 1,274 ambazo ni sawa na asilimia 57.4 dhidi ya washindani wake Sweetbert Nkuba, Revocutus Kuuli, Ibrahim Bendera, Paul…

Read More

TCB, ZEEA zaingia makubaliano kusaidia wajasiriamali kujikwamua kiuchumi

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo Ijumaa imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) ya kimkakati na Wakala wa Serikali wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar ( ZEEA) kwa lengo la kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Mpango huo…

Read More