Watoto wanogesha ‘KCB East Afrika Golf Tour’

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Nyota walioshiriki mashindano hayo ni kutoka katika klabu zote za Tanzania na wengine nchi za Uganda, Rwanda, Kenya na Burundi. Katika mashindano hayo mshindi wa kwanza kwa watoto ambao wamecheza viwanja 18 Hafidhi Twalibu aliyeshinda kwa pointi 46, wa pili ni Stanley Emilias amepata pointi 45 huku Sabrina Juma akiwa…

Read More

Mara wataka ulinzi kuimarishwa kukabili ujangili

Na Malima Lubasha, Serengeti MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi amewataka askari wanyamapori wa Hifadhi ya Serengeti na Mapori ya Akiba Ikorongo na Grumeti kukabiliana na vitendo vya ujangili na uharibifu wa mazingira ili kulinda ikolojia na viumbe hai. Kiongozi huyo wa mkoa alikuwa akizungumza katika maadhimisho ya siku ya askari wa wanyamapori…

Read More

Migahawa inayotembea kuongeza unywaji wa kahawa nchini

Na Nora Damian, Dodoma Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imezindua migahawa inayotembea ili kuongeza unywaji wa kahawa nchini kutoka asilimia saba hadi kufikia asilimia 15. Migahawa hiyo iliyozinduliwa kwenye Maonesho ya Wakulima maarufu Nanenae yanayofanyika kitaifa jijini Dodoma, utakuwa ukipelekwa kwenye maeneo yote yenye mikusanyiko ya watu na kutoa huduma ya unywaji wa kahawa. Akizungumza…

Read More