
Tarura kuendelea kufungua nchi kuwawezesha wakulima kuyafikia masoko kirahisi
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Dodoma Katika kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa haraka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) umesema unaendelea na ujenzi wa barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali nchini kwa kutumia teknolojia mbadala zenye gharama nafuu. Wakala huo umekasimiwa kusimamia kilomita 144,429.77 ambapo kazi kubwa inayofanywa ni ujenzi na ukarabati wa…