Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa aonya dhidi ya vita vikubwa, rufaa za uondoaji wa haraka – Masuala ya Ulimwenguni

“Nina wasiwasi mkubwa juu ya kuongezeka kwa hatari ya mzozo mpana Mashariki ya Kati na kuzisihi pande zote, pamoja na Mataifa hayo yenye ushawishi, kwa kuchukua hatua za haraka ili kupunguza hali ambayo imekuwa hatari sana,” Volker Türk alisema katika taarifa. Alisisitiza kwamba “haki za binadamu – kwanza kabisa ulinzi wa raia – lazima ziwe…

Read More

TIRDO WAENDELEA KUTOA ELIMU NANE NANE DODOMA

Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda ni kati ya Washiriki wa Maonesho ya Wakulima Maarufu kama Nane Nane katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Katika Maonesho hayo ,TIRDO inatoa elimu juu ya Uzalishaji wa Mafuta Tete(Essential Oil) ,Uongezaji wa thamani katika mazao ya kilimo ,Matumizi bora ya Nishati Viwandani na Majumbani( Energy Effeciency) pamoja…

Read More

TBS KUTOA ELIMU YA WAZALISHAJI MAONESHO YA NANENANE DODOMA

WANANCHI wakipatiwa  elimu ya wazalishaji kutumia Viwango katika mnyororo mzima wa uzalishaji kuanzia mashambani, matumizi ya pembejeo bora na uhifadhi wa mazao unaozingatia Viwango. Na.Alex Sonna-DODOMA MENEJA  wa Shirika la Viwango (TBS) Kanda ya Kati Bw. Nickonia Mwambene, amesema katika maonesho ya Nanenane mwaka huu wanatilia mkazo elimu ya wazalishaji kutumia Viwango katika mnyororo mzima wa uzalishaji kuanzia mashambani,…

Read More

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA KUZINDULIWA SEPTEMBA MWAKA HUU

  MRAJIS  Msaidizi Sehemu ya uhamasishaji na uratibu Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Ibrahim Kadudu,akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya wakulima Nanenane  yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. MRAJIS  Msaidizi Sehemu ya uhamasishaji na uratibu Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Ibrahim Kadudu,akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya wakulima…

Read More

Faida, hasara za unyonyeshaji kwa mtoto hizi hapa

Dar es Salaam. Pamoja na jitihada zinazofanywa na wataalamu wa afya katika utoaji wa elimu juu ya unyonyeshaji kwa kinamama wanaojifungua, jamii inayowazunguka, ikiwemo mama mzazi wa mwanamke aliyejifungua au mkwe wamekuwa kizingiti. Hiyo ni baada ya wao kutumia uzoefu wa walichokifanya wakati wakinyonyesha miaka mingi nyuma, jambo ambalo linaweka ugumu, hususani kwa mama anayejifungua…

Read More