Unavyoweza kuwa mtu mwenye bahati maishani

Bila shaka ulishawahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati katika maisha yake, hii ni kutokana mambo mengi katika maisha yake yanaonekana kufanikiwa kwa wepesi zaidi kuliko wengine. Binafsi nilikuwa najiuliza ni kitu gani watu wamefanya hadi wanakuwa na bahati kiasi hicho, nami nilikuwa natamani sana hilo lije kutokea siku moja katika maisha yangu, niwe…

Read More

GOD OF COINS SLOTI PENDWA DUNIANI

KUHUSU kuongeza Pesa zako kwetu ni jumumu letu, cha kufanya sogea pale Meridianbet kasino, kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni ukiwemo mchezo huu wa God of Coins. Kama bado hujajisajili Jisajili hapa na upewe bonasi ya ukaribisho hadi 300% Meridianbet kasino ya mtandaoni ni moja ya chimbo la madini ya pesa na kila unapocheza kasino ya mtandaoni na michezo ya…

Read More

Wadau wabainisha vichocheo vya rushwa kwa trafiki

Dar es Salaam. Masilahi duni na kukosekana uweledi kwa askari wa usalama barabarani, vimetajwa kuwa vichocheo vya kuwapo vitendo vya rushwa. Hata hivyo, Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) na Chama cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (Darcoboa), wameeleza si trafiki pekee wanaopokea rushwa, huku madereva na wamiliki wa mabasi wenye makosa barabarani…

Read More

KIWANGO CHA MIKOPO CHECHEFU KIMESHUKA KWA 4.3%

Na Janeth Raphael- MichuziTv -Dodoma Gavana wa Benk Kuu Tanzania (BOT) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Emmanuel Tutuba amesema kuwa kiwango cha Mikopo Chechefu kimeshuka hadi kufikia asilimia 4.3 ikiwa ni kiwango cha chini kabisa ambacho kiko chini ya asilimia 5 inayokubalika Kimataifa. Tutuba amesema hayo leo…

Read More

Karibuni katika banda la Wizara ya Afya katika Maonyesho ya Nane Nane 2024 yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Nane nane hapa Nzunguni Dodoma.

  Katika Banda la Wizara ya Afya huduma mbalimbali zinatolewa kuanzia Elimu ya Afya, Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa, Chanjo dhidi ya Homa ya ini, Uviko 19, pamoja na Chanjo dhidi ya Saratani ya Mlango wa Shingo ya Kizazi kwa wanawake Katika dawati letu la elimu na uhamasishaji tuna wataalam wa masuala ya Afya ya…

Read More