MEDO APEWA JUKUMU LA KUIRUDISHA MTIBWA LIGI KUU – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

Klabu ya Mtibwa Sugar imemtangaza Melis Medo raia wa Marekani kuwa kocha wao Mkuu huku akisaini mkataba wa Mwaka mmoja.

 

 

Mtibwa kwasasa itashiriki Championship msimu ujao wa 2024-25 baada ya kushuka daraja kutoka ligi kuu katika msimu uliopita wa 2023-2024.

 

 

Medo amewahi kuvinoa vilabu mbalimbali nchini kama Gwambina, Dodoma jiji Fc na Coastal Union.

Related Posts