Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 08,2024 amegawa Zana mbalimbali za Kilimo kwa Wizara hiyo wakati wa Kilele Cha Maadhimisho ya Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma.
The post Rais Samia akabidhi zana za kilimo kwa wizara ya kilimo first appeared on Millard Ayo.