
MZUMBE KUENDELEA NA MAONESHO NANENANE – DODOMA
Chuo Kikuu Mzumbe kinaendelea kuwakaribisha wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Kati kutembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya Kilimo ya Kimataifa (Nanenane) 2024 yanayoendekea katika viwanja vya Nanenane, Nzuguni jijini Dodoma. Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Mzumbe, Bi. Lulu Mussa amesema licha ya maonesho hayo kufikia kilele chake…