
Yanga yaiwekea mtego Ligi Kuu… Yauliza swali zito!
ILIPOPIGWA Simba katika nusu fainali kwa bao 1-0, Azam FC nayo ikajipanga kuja kulinda heshima, lakini kilichowakuta hadi unavyosoma gazeti hili hawajui kilichotokea wakipoteza kwa kipigo kizuto cha mabao 4-1, huku mabingwa wakiuliza ‘kuna mwingine huko?’ Yanga jana ikitoka nyuma kwa bao 1-0 na kupindua meza na kushinda kibabe ikilirudisha taji la Ngao ya Jamii…