Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • KingBet kutoa Boda Boda na iPhone 17 msimu huu wa Sikukuu

    12 minutes ago
  • Utalii mpya wa usiku kuvutia watalii Tarangire

    20 minutes ago
  • DC Simanjiro apiga marufuku usafishaji mashamba Langai

    40 minutes ago
  • TCAA yawahimiza Wahandisi wa Mitambo ya Kuongozea Ndege kuendelea Kuendana na Kasi ya Teknolojia

    42 minutes ago
  • MAJIKO BANIFU YA RUZUKU YAPIGA HODI KATAVI

    50 minutes ago
  • Bibi wa miaka 74 ahitimu mafunzo ya upishi Veta

    53 minutes ago
  • Home
  • 2024
  • August
  • 12
  • AMREF TANZANIA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI – DODOMA
  • Habari

AMREF TANZANIA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI – DODOMA

Admin1 year ago01 mins
37
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Ridhiwani Kikwete amefunga maadhimisho ya siku ya vijana kitaifa yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.

Mbali na mambo mengine, Waziri Ridhiwani Kikwete ametembelea banda la Amref Tanzania na kuelezwa namna AmrefTanzania inavyounga mkono juhudi za serikali katika kuhakikisha miradi mbalimbali inayotekelezwa na shirika kwa kushirikiana na wadau wake inavyolenga kutatua changamoto zinazowakabili (vijana) katika masuala ya Afya ili kuboresha maisha yao na jamii kwa ujumla.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni; “Vijana na Matumizi ya Fursa za Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu”.

Post navigation

Previous: Olamide anashikilia rekodi ya kuwa na watazamaji wengi zaidi TikTok Live
Next: Mzize: Chama ana jicho la pasi

Related News

KingBet kutoa Boda Boda na iPhone 17 msimu huu wa Sikukuu

Admin12 minutes ago 0

Utalii mpya wa usiku kuvutia watalii Tarangire

Admin20 minutes ago 0

DC Simanjiro apiga marufuku usafishaji mashamba Langai

Admin40 minutes ago 0

TCAA yawahimiza Wahandisi wa Mitambo ya Kuongozea Ndege kuendelea Kuendana na Kasi ya Teknolojia

Admin42 minutes ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo