Kuhakikisha Maisha Bora ya Baadaye Kwa Kuendeleza Mapambano Dhidi ya NTDs – Masuala ya Ulimwenguni

Magonjwa ya kitropiki yaliyopuuzwa (NTDs) ni kundi tofauti la magonjwa 21 ya kuambukiza ambayo huathiri watu bilioni 1.65 kote ulimwenguni na yanaweza kulemaza, kuharibu na kusababisha kifo. Maoni na Thoko Elphick Pooley (hove, Ufalme wa Muungano) Jumatano, Agosti 14, 2024 Inter Press Service HOVE, Uingereza, Agosti 14 (IPS) – Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake wa…

Read More

Ripoti ya UN ni ya uongo – DW – 15.08.2024

Ripoti ya awali iliyoachapishwa siku ya Jumanne na jopo la wataalamu wa uchaguzi wa Umoja wa Maaifa iligundua kwamba CNE ilishindwa kutekeleza kikamilifu misingi ya uazi na uadilifu. Baraza hilo, CNE lilitangaza ushindi wa Maduro kwa asilimia 52, bila ya kutoa mchanganuo. Matokeo hayo yamekuwa yakipingwa na upinzani, Marekani, Umoja wa Ulaya na baadhi ya…

Read More

KUELEKEA TAMASHA LA KIZIMKAZI MASHABIKI SIMBA,YANGA NUSURA WAZICHAPE VISIWANI ZANZIBAR

Na Said Mwishehe,Michuzi TV- Zanzibar WAKATI wananchi wa Visiwa vya Zanzibar pamoja na Tanzania Bara wakijiandaa kushuhudia mchezo kati ya mashabiki wa Simba na Yanga inayotarajiwa kufanyika Kizimkazi visiwani hapa, mashabiki wa timu hizo wamejikuta wakiingia katika vita ya maneno nusura wazichape. Mashabiki wa timu hizo kila mmoja amejinadi kuwa timu yake itaibuka mbabe na…

Read More

Konshens aibuka na Shek It kideoni

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MSANII maarufu wa kimataifa wa Jamaika, Konshens, ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Shek It’ ukiwa kwenye audio na video. Konshens ndiye anayeongoza nyimbo nyingi kubwa zaidi za Dancehall za wakati wote duniani, safari hii anajidhihirisha kuwa mkali wa mtindo wa Dancehall. Kibao hicho kimetayarishwa na prodyuza mkali, Costa Rica BomboCat,…

Read More

Masaibu ya Wanawake Miaka Mitatu baada ya Kuchukua Taliban nchini Afghanistan – Masuala ya Ulimwenguni

Mwanamke mwenye umri wa miaka 31 ameketi karibu na dirisha. Aliwahi kuwa mfanyabiashara kabla ya unyakuzi wa Taliban. Credit: UN Women/Sayed Habib Bidell Maoni na Alison Davidian (umoja wa mataifa) Jumatano, Agosti 14, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Agosti 14 (IPS) – nimerejea hivi punde kutoka kaskazini mwa Afghanistan. Niliwauliza wanawake niliokutana nao…

Read More