
Sweden yatangaza kisa cha kwanza cha mpox cha nje ya Afrika – DW – 15.08.2024
Kisa hiki cha Sweden kinatangazwa siku moja baada ya Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO kusema aina hiyo mpya ya virusi ni kiashiria tosha cha dharura ya kiafya inayoukabili ulimwengu. Waziri wa Afya wa Sweden Jakob Forrsmed amewathibitishia waandishi wa habari kuhusiana na kisa hicho cha maambukizi ya kirusi hicho hatari kabisa cha homa ya nyani….