
Uganda yawarejesha polisi wa Kongo waliokimbia mapigano – DW – 16.08.2024
Taarifa yake imesema baada ya kuthibitisha vitambulisho vya uraia, maafisa hao wa polisi waliruhusiwa kuingia Uganda kama kitendo cha kiutu na kulingana na sheria ya kimataifa. Msemaji wa jeshi la Uganda Meja Kiconco Tabaro amesema maafisa hao walirejeshwa pamoja na silaha zao na kuongeza kuwa wakimbizi walikuwa wakiendelea kuingia kupitia mpaka wa Uganda wakikimbia machafuko…