
MKUU WA MAJESHI; “WAPE SALAMU ZANGU WAMENIFURAHISHA SANA KWA MATOKEO MAZURI”
Mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda, ameipongeza shule ya sekondari Ruhuwiko inayomilikiwa na jeshi la ulinzi wa Wananchi Tanzania JWTZ, kupata matokeo mazuri mitihani ya kidato cha Sita mwaka 2024. Hayo yamesemwa na mkuu wa 401 kundi la vikosi Meja Jenerali Charles Peter Feruzi wakati wa sherehe iliyoandaliwa na shule ya sekondari…