
KOKA AWAFUNDA VIJANA UVCCM KATA YA TANGINI KUJIKWAMUA KIUCHUMI
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka katika kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuwakomboa vijana katika kujikwamua kiuchumi ameahidi kuwasaidia vijana wa kata ya Tangini kuanzisha miradi mbali mbali ikiwemo kuwapatia pikipiki. Koka ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na vijana wa UVCCM kata ya Tangini wakati…