Rais Ruto apata ushindi Mahakama ya Juu

Nairobi. Mahakama ya Juu zaidi nchini Kenya imesimamisha uamuzi wa Mahakama ya Rufaa uliobatilisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023. Kwa mujibu wa gazeti la Nation, katika uamuzi ambao sasa unairuhusu Serikali kuendelea kukusanya kodi kwa kutumia sheria hiyo, Mahakama hiyo ilirejelea masilahi ya umma, ikisema kusimamishwa kwa sheria hiyo kutasaidia kudumisha utulivu katika mchakato…

Read More

Waziri Mhagama akabidhi Ofisi kwa waziri Lukuvi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, katika maeneo ambayo atahitaji msaada wakati wa kuratibu shughuli za serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu. Jenista alitoa ahadi hiyo leo, Agosti…

Read More

Tanzania, Korea kujenga kituo cha utafiti wa madini

Dar es Salaam. Tanzania inatarajia kuanzisha kituo cha utafiti wa madini na maabara kubwa ya uchambuzi wa madini itakayokuwa na jukumu la kukagua ubora na kiasi cha madini yanayozalishwa na wachimbaji wakubwa, wa kati na wadogo. Ili kutekeleza mpango huo, leo Agosti 20, 2024 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambacho ni msimamizi wa ndani…

Read More

USAID kuwekeza Dola milioni 8.3 kwa kampuni tisa za Tanzania

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), kupitia serikali ya Marekani, limetangaza kuwekeza dola milioni 8.3 za Kimarekani kwa kampuni tisa za Tanzania ili kukuza biashara, kuboresha usalama wa chakula, na kuimarisha ushindani. Msaada huo pia utaiwezesha Tanzania kuongeza ushindani katika mauzo ya nje kupitia Mpango wa Ukuaji na…

Read More

Wanawake waongoza mashauri ya ndoa, familia

Dar es Salaam. Wanawake wametajwa kuwa mstari wa mbele kuripoti mashauri ya ndoa na kifamilia kuliko wanaume, sababu zikiwa ni ongezeko la talaka, kutafuta mirathi na matunzo ya watoto. Hayo yamo kwenye ripoti ya msaada wa kisheria ya mwaka 2023 iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Jumanne Agosti 20, 2024…

Read More

WAZIRI MAVUNDE AMPONGEZA GODI MWANGA KWA KUWEKEZA

Na Mwandishi wetu, Simanjiro WAZIRI wa Madini Anthony Peter Mavunde amempongeza mwekezaji mzawa God Mwanga kwa namna alivyowekeza kwenye madini ya kinywe hapa nchini. Waziri Mavunde ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye kiwanda cha madini ya kinywe cha Permanent Minerals Ltd, kilichopo kijiji cha Kandasikira Kata ya Shambarai, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara. Amesema…

Read More