Wawili watoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’

Dodoma. Mashahidi wawili wa upande wa mashtaka wamekamilisha kutoa ushahidi katika kesi ya ubakaji kwa kikundi na ulawiti kwa binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Washtakiwa katika kesi hiyo ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson…

Read More

Wadau waonyesha njia kukabili matukio ya unyanyasaji katika jamii

Dar es Salaam. Wakati matukio ya kikatili ikiwemo ulawiti, vipigo yakiendelea kuripotiwa nchini Tanzania, wanaharakati wanasheria na waandishi wa habari wamesema lazima Taifa liungane katika kuripoti na kupaza sauti wa matukio ya namna hiyo. Baada ya kupaza sauti, wameshauri sheria kufuata mkondo wake ili wale wote wanaohusika na vitendo hivyo wawajibishwe kwa mujibu wa sheria…

Read More

WaterAid yamkosha Jafo kwa utekelezaji SDGs Kisarawe

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, ameipongeza Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Jafo ametoa pongezi hizo leo jijini Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya Mradi wa Uboreshaji wa Tabia za Usafi kwenye shule 30 na vituo…

Read More

Wataka ilani za vyama zitokane na dira ya Taifa

Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa wamependekeza ilani za vyama zitokane na Dira ya Taifa ya Maendeleo. Wameeleza hayo leo Jumatano Agosti 21, 2024 wakati wa mjadala wa kutoa maoni kuhusu uboreshaji wa mpango wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050, ulioratibiwa na Tume ya Taifa ya Mipango….

Read More