
Mahakama yazuia tangazo la kufutwa vijiji lililotolewa na Serikali
Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imezuia tamko la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024 la kufuta kata, vijiji na vitongoji, vikiwamo vya wilayani Ngorongoro, hadi amri ya Mahakama itakavyoelekeza vinginevyo. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Ayoub Mwenda, aliyesikiliza maombi madogo ya zuio hilo yaliyowasilishwa na mmoja wa wananchi wa Ngorongoro, Isaya Ole…