'Wengi katika Harakati ya Haki ya Hali ya Hewa Wanatafuta Njia za Ubunifu na za Kufikirika za Kuandamana' — Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Alhamisi, Agosti 22, 2024 Inter Press Service Agosti 22 (IPS) – CIVICUS inazungumza na Chris Garrard, mwanzilishi mwenza na mkurugenzi mwenza wa Culture Unstained, kuhusu kampeni ya kukomesha ufadhili wa nishati ya mafuta katika taasisi za kitamaduni, ambazo makampuni ya mafuta yanatumia kujaribu kutoa taswira nzuri kwa umma. Kampeni hii imepata mafanikio makubwa,…

Read More

Michango ya figo isigeuzwe biashara ya figo

Dar es Salaam, Kuna hadithi ya Warusi inayosimulia kisa cha kaka mjivuni aliyemtoboa macho mdogo wake aliyekuwa masikini. Walianza kwa mabishano ni kipi bora kati ya wema na uovu. Mjivuni akasema uovu ndiyo dili, na yule masikini akabisha na kusema wema ndiyo kila kitu. Wakabeti kwamba atakayeshindwa anyang’anywe mali zake, lakini kwa kuwa masikini hakuwa…

Read More

Zaidi ya Washiriki 500 kushiriki Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI 2024 jijini Arusha

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Zaidi ya washiriki 500 kutoka Asasi za Kiraia (AZAKI), sekta binafsi, serikali, na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajiwa kushiriki maadhimisho ya Wiki ya AZAKI 2024, yatakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, mwaka huu. Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society (FCS), Justice Rutenge. Mkurugenzi Mtendaji wa The…

Read More

Ilala wamchangia Samia fomu ya urais

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Diwani wa Kata ya Ilala, Saady Khimji amewaongoza wananchi wa kata hiyo kuchanga Sh milioni moja kumwezesha Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Diwani wa Kata ya Ilala, Saady Khimji, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Amana, Dar es Salaam. Khimji…

Read More

‘Beauty Queen’ Yazidi Kumpaisha Director P

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Staa wa muziki mwenye asili ya Afrika anayeishi nchini Canada, Director P, ameendelea kujizolea umaarufu kupitia wimbo wake mpya, Beauty Queen. Wimbo huo umeonekana kuvutia mashabiki wengi, hasa kwenye mtandao wa YouTube, na kumfanya Director P kuzidi kung’aa katika ulimwengu wa muziki. Director P, ambaye ni rapa na mwongozaji wa…

Read More

Watumishi wa afya wanne wasimamishwa kazi Arusha

Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha John Kayombo amewasimamisha kazi watumishi wanne wa Kituo cha Afya Kaloleni ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kuchelewesha huduma kwa majeruhi. Kati ya waliosimamishwa wawili ni madaktari na wengine ni wauguzi ambao taarifa zao zilisambaa katika mitandao ya kijamii ikiwatuhumu kuchelewa kutoa huduma kwa majeruhi wa…

Read More

Rais Samia arejesha huduma za kijamii Ngorongoro

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Rais Samia Suluhu Hassan amesikiliza kilio cha wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro na ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii, ikiwemo elimu na afya, ambazo zilikuwa zimesitishwa katika eneo hilo. Agizo hilo limetolewa leo, Ijumaa, Agosti 23, 2024, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi,…

Read More

VIDEO: Mwanachuo mbaroni kwa tuhuma za uchochezi mitandaoni

Mwanza. Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini (IRDP) Tawi la Mwanza, kilichopo Kisesa wilayani Magu, Elias Mbise (20) amekamatwa akidaiwa kusambaza taarifa za uchochezi mitandaoni na kuhamasisha wenzake kuwafanyia vurugu askari wa Jeshi la Polisi na watumishi wengine wa umma. Mwanafunzi huyo anadaiwa kusambaza taarifa hizo katika kundi sogozi (WhatsApp) akiwashawishi watu mbalimbali…

Read More

Wakulima Wadogo wa Uganda Wakabiliana na Kanuni za EU kuhusu Mashamba ya Kahawa – Masuala ya Ulimwenguni

Peter Kibeti akiwa na mmea wa kahawa wa Arabica shambani kwake Bududa. Wakulima wanapaswa kuzingatia kanuni za Umoja wa Ulaya kuhusu ukataji miti na ajira kwa watoto ikiwa wataendelea kufanya biashara na soko hili muhimu. Credit:Wambi Michael/IPS by Wambi Michael (kigali) Ijumaa, Agosti 23, 2024 Inter Press Service KIGALI, Agosti 23 (IPS) – Katika kijiji…

Read More

Samia aagiza huduma zirejeshwe Ngorongoro

Ngorongoro. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa huduma za kijamii, kuruhusu kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na kuondolewa vikwazo vyote vilivyowekwa kwa wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro, ambao kwa siku tano wamekusanyika maeneo tofauti wakidai kupatiwa haki hizo. Miongoni mwa madai ya wananchi hao ambao awali waliandamana ni kupinga kufutwa vitongoji 96, vijiji…

Read More