Azam yatupwa nje kimataifa | Mwanaspoti

Azam imeondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali baada ya kufungwa mabao 2-0 na APR katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Amahoro, Rwanda. Mabao ya APR katika mchezo huo yamefungwa na Jean Bosco Ruboneka dakika ya 45 na Gilbert Mugisha dakika ya 62. Kipigo hicho kinaifanya Azam kuondolewa kwa jumla ya mabao 2-1…

Read More

Nguruwe na Mbweha Wanatoa Ushindi

*Sloti ya Piggy Party Inakimbiza sana UMEWAHI kuona Nguruwe akisakata Rhumba au Mbweha akiyakata huku akinywa bia, hahahah basi haya yote unayapata kwenye mchezo wa Piggy Party kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imetengenezwa na Expanse Studio ikiwa na dhumuni la kutoa burudani kwa wachezaji huku wakijipatia…

Read More

Simba yapewa Waarabu CAF | Mwanaspoti

Dar es Salaam. Simba itakutana na Al Ahli Tripoli ya Libya katika raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ambapo itaanzia ugenini na kumalizia nyumbani. Hiyo ni baada ya Al Ahli Tripoli kuitupa nje Uhamiaji ya Zanzibar kwa ushindi wa mabao 5-1 katika mechi mbili za raundi ya kwanza ambazo zote zilichezwa…

Read More

Singida BS yaichapa Kagera | Mwanaspoti

SINGIDA Black Stars, wameendeleza ubabe wao katika Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao, Kagera Sugar. Mchezo huo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera, Singida Black Stars ilipata bao hilo pekee kupitia beki wake wa kati, Anthony Tra Bi Tra dakika ya 90+2. Mashambulizi ya…

Read More