Guterres atoa wito wa kukomeshwa kwa ghasia za Myanmar, mateso dhidi ya Warohingya – Masuala ya Ulimwenguni

Takriban Warohingya milioni moja wanajihifadhi nchini Bangladesh na zaidi ya 130,000 zaidi wametafuta mahali pa usalama katika eneo lote bila matarajio ya haraka ya kurudi, alisema António Guterres katika taarifa iliyotolewa na Msemaji wake siku ya Ijumaa – kabla ya kuadhimisha kumbukumbu ya Jumapili. “Hali mbaya ya usalama na ya kibinadamu na changamoto zinazoendelea za…

Read More

WHO inatafuta $135 milioni kushinda mpox – Global Issues

“Kukabiliana na mlipuko huu tata kunahitaji mwitikio wa kimataifa wa kina na ulioratibiwa,” WHO Mkurugenzi Mkuu Tedros Adhanom Ghebreyesus aliiambia Nchi Wanachama, kama kesi zilienea zaidi ya Afrika hadi Ulaya na Asia. Mkutano huo ulifanyika zaidi ya wiki moja baada yake alitangaza kwamba mpox ilikuwa dharura ya afya ya umma ya wasiwasi wa kimataifa. Aina…

Read More

Benki ya NBC Yachochea Ukuaji Sekta ya Michezo, Burudani na Utalii Zanzibar, Rais Samia, Dkt Mpango Wapongeza.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mwishoni mwa wiki ilishiriki kikamilifu kwenye Tamasha la Kizimkazi Zanzibar kwa kuandaa matukio kadhaa ya kimichezo, burudani na utalii visiwani humo yaliyohusisha uwepo wa viongozi wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango na viongozi…

Read More

RAIS DKT. SAMIA KUFUNGUA RASMI KIKAO KAZI CHA MSAJILI WA HAZINA NA WAKUU WA TAASISI AGOSTI 28, 2024 JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua rasmi kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji wakuu wa Taasisi za Serikali (CEO FORUM 2024), kitakachofanyika kwa siku tatu kuanzia Agosti 27 hadi 30, 2024, kwenye kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC Jijini Arusha. Mkutano huo ulioandaliwa na Ofisi…

Read More

NCBA golf series imerudi tena kwa kishindo

Kwa mara nyingine tena michuano ya mchezo wa Golf Tanzania maaarufu kama NCBA Golf imerejea kwa kishindo, ambapo ikiwa ni wiki chache baada ya awamu ya kwanza ya mashindano hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Damas Ndumbaro kurindima huko jijini Arusha tarehe 29 Julai.   Mashindano ya NCBA Golf Series…

Read More

Serikali kushusha kocha timu ya taifa ya Golf kwa wanawake

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali imepanga kuleta kocha wa kigeni kwa ajili ya kuifundisha timu ya Taifa ya Gofu ya wanawake.   Mhe. Ndumbaro amesema hayo Agosti 24, 2024 Jijini Dar Es Salaam wakati alkifunga Mashindano ya Kimataifa ya NCBA Golf Series ambapo amebainisha kuwa kocha huyo atagharamiwa…

Read More

Simulizi watoto waliokufa maji Rorya, Samia atuma rambirambi

Rorya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya Sh30 milioni kama rambirambi kwa familia zilizopoteza watoto sita kwenye bwawa la skimu ya umwagiliaji katika kijiji cha Ochuna wilayani Rorya, huku mashuhuda wakisimulia kilichotokea. Watoto hao wa kike walifariki dunia jana Agosti 24, 2024 jioni baada ya kuzama na kunasa…

Read More