Ngano Inayostahimili Ugonjwa na Mkazo wa Hali ya Hewa kwa Ulimwenguni Kusini – Masuala ya Ulimwenguni

Wanasayansi wanakagua mkusanyiko wa rasilimali za kijeni za ngano huko Jaipur, India. by Maina Waruru (nairobi) Jumatatu, Agosti 26, 2024 Inter Press Service NAIROBI, Agosti 26 (IPS) – Utafiti wa msingi unaonyesha kuwa jamaa wa porini wa ngano wanaweza kugeuzwa kuwa zao la usalama wa chakula wakati wote ambalo linaweza kuwaepusha na njaa na njaa,…

Read More

Sido yaja na mashine za kuchanganyia virutubisho lishe

Dar es Salaam. Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) limejipanga kutengeneza mashine ya kuchanganya virutubisho vya lishe shuleni ili kusaidia wanafunzi kupata chakula chenye mchanganyiko unaotakiwa kiafya. Utengenezaji wa mashine hizo unakuja wakati kukiwa na kamapeni ya Serikali kuhimiza wanafunzi kupata lishe bora katika chakula wanachopata shuleni. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 26, 2024 wakati wa…

Read More

Safari ya Msechu kutoka kuwekewa puto hadi kukatwa utumbo

Dar es Salaam. Miongoni mwa mambo yanayoulizwa sana na Watanzania inapochapishwa picha ya msanii Peter Msechu katika mtandao wowote wa kijamii ni maendeleo ya puto alilowekewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila. Hiyo ni kutokana na wengi kuhisi kuwa puto hilo halikufanyi kazi kutokana na kutoonekana kumpunguza unene alionao na hatimaye Msechu ameiambia Mwananchi kuwa sasa…

Read More

MTOTO MCHANGA AOKOLEWA JIJINI DODOMA

Mtoto Mchanga ameokolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dodoma baada ya mama yake aitwae Catherine Iwaho kumtupa mtoto huyo chooni. Mara baada ya mtoto huyo kuokolewa alikimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma (General) kwa Matibabu zaidi Agosti 26, 2024 Tukio Hilo limetokea maeneo ya Ipagala ambapo mtoto huyo amekutwa akiwa hai. Akitoa taarifa…

Read More

REA YAMTAKA MWENDELEZAJI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAGUTA MKOANI IRINGA KUONGEZA KASI

SERIKALI imemtaka Mwendelezaji wa Mradi wa kufua umeme kwa kutumia maporomoko ya maji wa Maguta uliopo katika Kijiji cha Masisiwe Wilayani Kilolo Mkoani Iringa kuukamilisha kwa wakati. Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Advera Mwijage ametoa maelekezo hayo Agosti 26, 2024 alipofanya ziara ya kukagua maendeleo…

Read More

Jaji ataja sababu hukumu kesi ya Milembe kuahirishwa

Geita. Hukumu ya kesi ya mauaji ya Milembe Suleman iliyotarajiwa kutolewa leo, Agosti 26, 2024, imeahirishwa na sasa itasomwa kesho, Agosti 27, 2024, saa tatu asubuhi. Sababu zilizotajwa za kuahirishwa kwa hukumu hiyo ni urefu wa kesi, wingi wa mashahidi, pamoja na mchakato wa utafutaji wa haki kwa pande zote mbili. Jaji mfawidhi wa Mahakama…

Read More